Vituo vya huduma

One Stop Centre, madawati ya jinsia na watoto ya polisi, ofisi za Ustawi wa Jamii, kliniki za CTC na vituo vya upimaji wa VVU.

Hakuna kituo kilichopatikana. Tuma HURU VITUO wilaya yako kwenda 15054 au piga 116.